Friday, December 4, 2020

Nchimbi amvua jezi mtu Yanga

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

HABARI ZOTE NA ZAINAB IDDY

BAADA ya kutua katika Klabu ya Yanga, Ditram Nchimbi, ameomba kupewa jezi namba 29 iliyokuwa ikivaliwa na kiungo wa timu hiyo, Rafael Daudi.

Rafael ambaye amevaa jezi hiyo kwa misimu mitatu   tangu atue Jangwani, akitokea Mbeya City, tayari amebadilishwa na kupewa jezi namba nne iliyokuwa inatumiwa na Deus Kaseke.

Kwa sasa Keseke anavaa jezi namba 27 iliyowahi kutumiwa na winga wa zamani wa timu hiyo, Simon Msuva, anayekipiga katika klabu ya Difaa El Jadida ya Morocco.

Akizungumza na BINGWA jana, Nchimbi alisema bado hajakabidhiwa jezi hiyo, lakini ameomba wampe namba 29.

Nchimbi alisema jezi hiyo ndiyo aliyokuwa akivaa akiwa Azam na Polisi Tanzania kabla ya kutua Jangwani.

“Viongozi Yanga walitaka kunipa jezi namba 10 ninayovaa nikiwa timu ya taifa, Taifa Stars, lakini sina mapenzi nayo naikubali kuivaa kama haipo nyingine, binafsi nahitaji namba 29.

“Kila mchezaji anacho anachokipenda maishani, kwangu navaa namba yoyote, lakini zipo zile ninazozipa kipaumbelea katika kazi hii,” alisema.

Nchimbi amesajiliwa na Yanga katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Azam, lakini akiwa anakipiga kwa mkopo Polisi Tanzania.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -