Thursday, November 26, 2020

Ndayiragije atuliza mashabiki Azam

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA TIMA SIKILO

SIKU moja baada ya Azam kufungwa na Triangle United ya Zimbabwe bao 1-0 katika mchezo wa raundi ya kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika, uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, kocha wa timu hiyo, Etienne Ndayiragije, amewahakikisha mashabiki wao watashinda ugenini na kusonga mbele.

Akizungumza na BINGWA juzi, Ndayiragije alisema bado wana nafasi katika michuano hiyo, licha ya kuanza vibaya nyumbani.

Ndayiragije alisema amewasoma wapinzani na atatumia udhaifu wao kuandaa kikosi cha ushindi kabla ya kukutana Septemba 27, mwaka huu.

Alisema amewataka mashabiki wa timu hiyo kutulia wakati wanaendelea kujipanga,kwani katika soka ushindi unaweza kupatikana nyumbani na ugenini.

“Hakuna linaloshindikana kama wao wameweza kupata ushindi kwetu hata sisi tunaweza kushinda kwao,” alisema Ndayiragije.

Azam wanahitaji ushindi usiopungua mabao 2-0 dhidi ya Triangle United ili waweze kusonga mbele katika michuano hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -