Friday, October 23, 2020

NDAYIRAGIJE AWAFUNGIA KAZI WASHAMBULIAJI WAKE

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA FRANCIS MACHA, TUDARCO


KOCHA mkuu wa timu ya KMC FC, Etienne Ndayiragije, amesema bado anahitaji muda kurekebisha safu yake ya ushambuliaji ili kufanya vizuri msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara ulioanza juzi.

Kikosi hicho ambacho huu ni msimu wake wa kwanza kushiriki Ligi Kuu, kilitoka suluhu dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Isamuhyo, uliopo Mbweni jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, kocha huyo alisema anashukuru kumaliza mechi salama na kikubwa anashukuru kutoruhusu bao lolote lakini angetamani sana kuona safu yake ya ushambuliaji inapata magoli mengi zaidi.

“Tumecheza vizuri na kikubwa

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -