Saturday, November 28, 2020

NDEMLA AVUJISHA SIRI ZA SIMBA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SAADA SALIM

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla, amefichua siri ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mbao katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa Jumatatu wiki hii, Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.

Simba walipata ushindi huo wakitoka nyuma wakiwa wamefungwa mabao 2-0 katika dakika 45 za kwanza.

Akizungumza na BINGWA jana, Ndemla alisema baada ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza, kocha wao, Joseph Omog, aliwaambia kupambana dakika zilizobaki, kwani mashabiki walikuwa wanasubiri ushindi kwa hamu.

Ndemla alisema aliwaambia wakishindwa kufanya hivyo watakuwa kwenye hatari ya kupoteza nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu.

“Kwanza kocha alituambia tunao uwezo wa kusawazisha mabao yote mawili na pia akatusisitizia kuwa kama tutashindwa kuondoka na ushindi inamaanisha mbio za ubingwa zitakuwa kama zimeyeyuka, kitu ambacho kilizidi kutupa morali na tukaondoka na ushindi,” alisema.

Simba wanatarajia kucheza na Toto Africans kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -