Saturday, October 31, 2020

NDOA BIEBER BADO YAMTESA SELENA GOMEZ

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NEW YORK, Marekani

STAA Selena Gomez bado anaendelea kuugulia tatizo la msongo wa mawazo ambalo linadaiwa kusababishwa na mpenzi wake wa zamani, Justin Bieber’, kumuoa kimwana mwingine, Hailey Baldwin.

Staa huyo anadaiwa kukumbwa na tatizo hilo Oktoba 10 mwaka huu na kwa sasa yupo kwenye chumba cha ushauri nasaha ili kuona kama atarejea katika hali yake ya kawaida.

“Selena bado anapata nafuu taratibu,”  chanzo cha habari kilichopo karibu na mwimbaji huyo kiliauambia mtandao wa  HollywoodLife.

“Tukio zima linaonekana kumuathiri na amekuwa akilia mara kwa mara. Ni vigumu mno kwake wakati mwili unapokuwa haujisikii vizuri kwa ujumla jambo hilo huwa linamsikitisha mno,” kiliongeza chanzo hicho.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -