Wednesday, October 28, 2020

NDUDA, NIYONZIMA WAJIFUA KIVYAO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA WINFRIDA MTOI         |          


 

WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara ikianza rasmi jana, wachezaji wa Simba, Haruna Niyonzima na Said Mohammed ‘Nduda’, wameamua kujifua wenyewe wakati wanasikilizia hatima yao ili kujiunga kikosi hicho.

Wachezaji hao wamekuwa na matatizo na uongozi wa kikosi hicho, hali iliyowafanya wasijiunge na timu katika maandalizi ya msimu mpya wa ligi hiyo ‘Pre Season’ na hadi sasa hatima yao haijajulikana.

Nduda na Niyonzima muda mwingi wamekuwa wakionekana pamoja wakifanya mazoezi katika viwanja vya Chuo Kikuu, Dar es Salam, huku kila mmoja akiwa mwalimu wa mwenzake.

Akizungumza na BINGWA, Nduda alisema wameamua kufanya mazoezi kuendelea kujiweka fiti kwa sababu hawana shughuli yoyote kwa sasa.

“Tunafanyia mazoezi Chuo Kikuu kila siku, hakuna ‘movement’ yoyote, inabidi tupige tu mazoezi, hata leo ni sikukuu, lakini nilikuwa mazoezini kama kawaida,” alisema Nduda.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -