Friday, October 30, 2020

Neymar ampa Messi lifti kwenye ndege yake

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

BARCELONA, Hispania

MSHAMBULIAJI  wa  klabu ya Barcelona, Neymar ameonyesha ukarimu kwa  wachezaji wenzake baada ya kuwapa lifti kwenye ndege yake binfasi.

Juzi Neymar aliwapa lifti Lionel Messi na Javier Mascherano wakisafiri kwenda mjini Belo Horizonte nchini Brazil, kwa ajili ya mchezo wa kufuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2018 nchini Urusi.

Kwa upande wa timu za Amerika Kusini, Brazil inaongoza kwenye mbio za kufuzu

fainali hizo za Kombe la Dunia kwa tofauti ya pointi tano.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -