Wednesday, October 21, 2020

NEYMAR AREJEA BARCA KULA BATA

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

CATALUNYA, Hispania

WINGA wa PSG, Neymar, alishindwa kucheza mchezo wa Ligi Kuu Ufaransa dhidi ya Amiens ikidaiwa kuwa alipewa muda wa kupumzika baada ya kutoka kuitumikia timu ya Taifa ya Brazil.

Lakini unaambiwa mchezaji huyo ghali duniani alienda kula bata Barcelona na mchezaji mwenzake raia wa Brazil, Arthur, anayekipiga ndani ya klabu hiyo ya Catalunya.

Neymar kuonekana katika mitaa ya Jiji la Barcelona, imezua hofu kwa mashabiki wa PSG ambao wanaamini staa huyo atarejea katika klabu yake hiyo ya zamani.

Wachezaji wanaokipiga timu ya Taifa ya Brazil walionekana wakifurahi pamoja na marafiki zao wa karibu huku Neymar akituma video na picha katika mitandao yake ya kijamii.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -