Saturday, October 31, 2020

NEYMAR ATAJA BINGWA EPL, ‘AIZIKA’ LIVERPOOL

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

PARIS, Ufaransa


NYOTA Neymar ameitabiria Manchester City kulibeba kwa mara ya pili mfululizo taji la Ligi Kuu ya England (EPL), akiongeza kuwa Liverpool haitaumaliza msimu huu ikiwa ‘top four’.

Msimu uliopita, Man City ya kocha Pep Guardiola ilitwaa ubingwa ikiwa na pointi 100 na kama hiyo haitoshi, ilikuwa imezitikisa nyavu za wapinzani wake zaidi ya mara 100.

“Haitakuwa rahisi, Iakini Manchester City watalinyakua. Man United watashika nafasi ya pili, Chelsea watafuata na Tottenham watamaliza ya nne,” alisema Neymar.

Kwa msimu huu, Man City imeanza vizuri, baada ya kushinda mechi tatu kati ya nne, huku mambo yakiwa mazuri pia kwa Liverpool, ambao wameshinda yote.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -