Sunday, October 25, 2020

NGASSA: AZAM BAHATI YAO

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA WINFRIDA MTOI


WINGA wa Mbeya City, Mrisho Ngassa, amesema Azam FC walikuwa na bahati baada ya mchezo wao kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

Katika mchezo huo, Ngassa aliyeingia dakika ya 80 akitokea benchi, alipiga shuti kali lililogonga mwamba na kusema kwamba Azam walikuwa na bahati ila wangeweza kuondoka na ushindi.

Akizungumza na BINGWA baada ya mchezo huo, Ngassa alisema aliingia akiwa ameshausoma mchezo na alikuwa na kiu ya kuipatia timu yake bao.

Hivyo alipopata mpira akiwa eneo zuri la kufunga alipiga shuti la moja kwa moja langoni kwa Azam, lakini liligonga mwamba.

“Malengo yetu yalikuwa ni kuondoka na ushindi ukizingatia tumekuwepo Dar es Salaam kwa muda tukifanya mazoezi ila Azam bahati ilikuwa yao kuambulia sare,” alisema Ngassa.

Kuhusu kuanzia benchi, alisema kwake haina shida kwa kuwa anajua ni mipango ya kocha.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -