Monday, November 30, 2020

NGASSA KUANZA KAZI MBEYA CITY

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA SALMA MPELI

WINGA mpya wa Mbeya City, Mrisho Ngassa, anatarajiwa kuwemo katika kikosi kitakachoivaa Toto Africans, baada ya kupata Hati ya Uhamisho wa Kimataifa (ITC).

Mchezaji huyo wa zamani wa Yanga, alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Mbeya City kwenye usajili wa dirisha dogo hivi karibuni ambapo ameshindwa kuitumikia timu hiyo kwenye mechi ya kwanza ya mzunguko wa pili dhidi ya Kagera Sugar kutokana na kukosa ITC.

Ngassa alijiunga na Mbeya City akitokea Fanja FC ya Oman, ambayo aliachana nayo baada ya kuitumikia kwa miezi miwili pekee, kabla ya kurejea nchini.

Mchezaji huyo alitua Fanja akitokea Free State Stars ya Afrika Kusini alikosajiliwa na kocha wa sasa wa Mbeya City, Mmalawi Kinnah Phiri, aliyekuwa anaifundisha timu hiyo wakati huo.

Akizungumza na BINGWA jana, Ofisa Habari wa Mbeya City, Dismas Ten, alisema wamewasiliana na uongozi wa Fanja ambao waliahidi kuituma ITC ya mchezaji huyo jana.

“Ngassa anaweza kuanza kucheza kwenye mechi ijayo kwani tayari tumeshawasiliana na Fanja na ITC yake inakuja leo (jana),” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -