Wednesday, October 28, 2020

Ngoma, Tambwe waonyeshana ubabe mbele ya Lwandamina

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA HUSSEIN OMAR,

WASHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Donald Ngoma na Amissi Tambwe, juzi wameonyeshana umwamba wa kupachika mabao mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, George Lwandamina.

Ubabe huo wa kupachika mabao ulionekana kwenye mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika kwenye uwanja wa Gymkhana jijini Dar es Salaam.

Kwenye mazoezi hayo, washambuliaji hao kila mmoja alipachika mabao mawili katika mechi za mazoezi ya timu hiyo, hali iliyomvutia kocha wa timu hiyo.

Lwandamina aligawa vikosi viwili, kikosi cha kwanza kiliundwa na wachezaji, Deogratius Munish ‘Dida’, Juma Abdul, Mwinyi haji, Kelvin Yondani, Andrew Vicent,  Said Juma Makapu, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Deus Kaseke, Geofrey Mwashiuya na Donald Ngoma.

Kile cha pili kiliundwa na Ali Mustapha Barthez, Hassan Kessy, Oscar Joshua, Pato Ngonyani, Mbuyu Twite, Thaban Kamusoko, Malimi Busungu, Anthony Matheo  ambapo Ngoma na Tambwe waliooneshana umwamba na kocha huyo kuonekana kuvutiwa nao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -