Friday, October 23, 2020

NGOME WAPANIA MBIO ZA KARATU

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA SHARIFA MMASI

TIMU ya riadha ya Ngome ya Arusha, wanaonekana kupania kufanya vizuri katika mbio za Karatu zitakazofanyika Jumamosi mkoani humo.

Wachezaji wa timu hiyo, waliendelea na mazoezi asubuhi na jioni kwa mbio za kilomita 10 ili kuhakikisha wanatengeneza kikosi bora ambacho kitaleta ushindani katika mbio hizo.

Michuano hiyo ilitanguliwa na tamasha la Karatu lililoanza Desemba 12 mwaka huu, lililoshirikisha soka, kikapu, wavu na ngoma za asili. Akizungumza na BINGWA jana, kocha mkuu wa Ngome, Shaban Hiki, alisema michuano hiyo hufanyika kila mwaka kwa lengo la kuinua vipaji chipukizi vya michezo.

“Tunakabiliwa na michuano ya Karatu ambayo ni mikubwa kwani inashirikisha michezo yote kwa lengo la kuinua na kuendeleza vipaji vya wachezaji chipukizi.

“Klabu mbalimbali zitashiriki michuano hii kulingana na aina ya mchezo, pia tunatarajia timu nyingi za riadha, sisi Ngome tunaendelea na mazoezi kujihakikishia ushindi,” alisema Hiki.

Alisema wachezaji wa timu hiyo wana ari kubwa ya kushindana kwani wamekuwa wakifuata vizuri mafundisho yake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -