Friday, October 30, 2020

‘NIRINGE NAYE’ YAWAPAISHA EDNEYZ, MR PIANO

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU


SIKU chache baada ya wasanii wapya wa Bongo Fleva, Edneyz na Mr Piano, kuachia wimbo wao Niringe Naye, wameweka wazi kuwa kolabo hiyo imeanza kuwafungulia njia ya mafanikio kimuziki.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Edneyz, alisema licha ya kuwapo kwa wasanii wengi wanaoanza kama wao lakini wanashukuru mapokezi ya wimbo huo yamekuwa makubwa katika mitandao ya kijamii.

“Video tayari ipo, imetoka juzi na mashabiki wametushangaza, wametupokea vizuri kama wasanii wengine ambao wametutangulia, nguvu yao tumeiona, hatutawaangusha huu ni mwanzo tu,” alisema Edneyz.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -