Thursday, October 29, 2020

NIYONZIMA ATINGA KAMBINI YANGA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA ZAITUBNI KIBWANA


Kiungo mnyarwanda wa klabu ya simba, haruna niyonzima, jana amejumuika na wachezaji wa yanga katika kambi yao waliyoiweka nchini rwanda, walipokuwa wakimalizia mchezo wa hatua ya makundi wa kombe la shirikisho afrika.

niyonzima ambaye yupo rwanda katika kikosi cha timu ya taifa (amavubi), aliungana na wachezaji hao wa yanga mara baada ya kumalizika mchezo wao dhidi ya rayon sports.

mchezo huo wa kundi D, ulichezwa kwenye uwanja wa nyamirambo kigali, rwanda na yanga kufungwa 1-0 na wenyeji, rayon sports.

ninyozima ambaye bado hajajiunga na kikosi cha simba mpaka sasa akiwa kwenye kambi ya yanga, alipiga picha kadhaa na nyota wa klabu hiyo.

kwenye picha hizo, niyonzima alikuwa pamoja na matheo anthony, deus kaseke, ibrahim ajib na  kaimu katibu mkuu, omar kaaya.

picha hizo zimeonekana kuleta taharuki kwa mashabiki wa simba, ambao wengi wamemshangaa kiungo huyo kwa kushindwa kuungana na kikosi cha simba mpaka sasa.

taarifa ambazo bingwa linazo zinasema, tayari simba na niyonzima wamemalizana na mchezaji huyo ataungana na simba atakaporejea.

“suala na haruna limeshaisha, ndio maana ameruhusiwa kwenda kujiunga na timu na uongozi, akirudi ataungana na timu katika kupambania nafasi yake ambayo kwa sasa amepata changamoto baada ya kutua kiungo mzambia, cletus chama,” kilisema chanzo hicho.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -