Monday, October 26, 2020

NIYONZIMA SASA ROHO KWATU

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA ZAINAB IDDY

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Haruna Nyonzima, amesema amefurahi kupata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Majimaji, uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea.

Akizungumza na BINGWA jana, Niyonzima, alisema amefurahi kupata pointi tatu ambazo zitasaidia kuwaweka katika mazingira mazuri ya kutetea taji lao licha ya kuwa ni ushindi  mwembamba.

Niyonzima alisema ligi ya msimu huu ni ngumu, kwani kupata ushindi ugenini si kazi ndogo kama baadhi ya mashabiki wao wanavyofikiria.

“Tunachoangalia ni pointi tatu pekee  bila kujali tumeshinda mabao mangapi, lakini ukweli ni kwamba  ligi ni ngumu msimu huu.

“Sisi tulioshinda bao moja na yule atakayeshinda zaidi yetu bado sote tutakuwa na pointi tatu, hivyo ni lazima muda mwingine kukubali matokeo kutokana na hali ya ushindani iliyopo katika mzunguko huu wa lala salama,” alisema.

Yanga imeendelea kushika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo kutokana na pointi 43 baada ya kucheza michezo 19.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -