Friday, October 23, 2020

NORAH ATANGAZA KUACHA KUIGIZA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA JEREMIA ERNEST


MWIGIZAJI mkongwe nchini aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia kundi la Kaole, Nuru Nassor ‘Norah’, ametangaza rasmi kuacha kuigiza baada ya kuitumikia tasnia hiyo kwa muda wa miaka 15.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Norah aliyewahi kutamba mwaka 2000 katika igizo la Fukuto, alisema anajivunia kuburudisha na kuelimisha jamii ya rika zote kutokana na kazi zake zenye maadili.

“Nimeitumikia sanaa kwa muda mrefu, naamini kipaji alichonipa Mungu nimekitumia ipasavyo kwa kuburudisha na kuelimisha jamii yangu kwa kubaki katika tamaduni zetu,” alisema Norah.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -