Monday, August 10, 2020

Nyota Azam wapewa likizo siku 30

Must Read

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi...

NA ASHA KIGUNDULA

UONGOZI wa klabu ya Azam umesema umewapa wachezaji wao mapumziko ya siku 30 kutokana na tishio la virusi vya ugonjwa wa Corona.

Akizungumza na BINGWA jana jijini Dar es Salaam, Ofisa Habari wa klabu hiyo, Zakaria Thabit ‘Zaka Zakazi’, alisema wamewaruhusu wachezaji wao kurudi nyumbani kwao kutokana na kuwapo kwa tishio la ugonjwa huo.

Zaka Zakazi alisema wachezaji wa kigeni wakihitaji kwenda nchini kwao watapewa nauli ya kwenda na kurudi.

“Tumevunja kambi kila mchezaji ameruhusiwa kwenda nyumbani na wachezaji wetu wanaotoka nje ya Tanzania wamepewa ruhusa kwenda makwao,” alisema Zaka Zakazi.

Alisema wamefanya hivyo kufuatia maagizo ya Serikaliya kusitisha Ligi Kuu Tanzania Bara na madaraja mengine.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Klabu zamiminika kuomba kutumia U/Nelson Mandela

NA ASHA KIGUNDULA UONGOZI wa Chama cha Soka Mkoa wa Rukwa (RUREFA), umesema umeanza...

Kipa mpya Azam atamba kumsaulisha Abarola

NA ZAINAB IDDY KIPA mpya wa Azam, David Kissu, ameuahidi uongozi na mashabiki wa timu hiyo kuwa atajituma na...

Yanga: Hatuna mpango na wasugua benchi Msimbazi

NA ZAINAB IDDY UONGOZI wa Yanga, umesema hauna mpango wa kusajili wachezaji wanasugua benchi katika klabu ya Simba kwa...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...

TSHISHIMBI KUMFUATA MORRISON SIMBA

NA ZAINAB IDDY KIUNGO wa Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, anatarajiwa kumfuata winga wa kikosi hicho, Bernard...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -