Saturday, October 31, 2020

NYOTA SITA WAIVURUGA ATLETICO MADRID

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania

MKUU wa benchi la ufundi la Atletico Madrid, Diego Simeone, amekiri kuwa majeruhi waliopo kikosini wamewafanya wazianze vibaya mbio za kuliwania taji la La Liga msimu huu.

Atletico iliyokuwa moto wa kuotea mbali katika mechi za maandalizi ‘pre-season’, imeshinda mechi moja pekee kati ya tatu, huku ikiwa haina huduma ya nyota wake saba.

Majeraha mbalimbali yamewafanya nyota Santiago Arias, Vitolo, Nikola Kalinic, Stefan Savic, Angel Correa na Juanfran kuendelea kuwatazama wenzao, jambo ambalo linaiyumbisha timu hiyo.

Kukosekana kwa mastaa hao kumemlazimisha Simeone kuwatumia makinda wawili, Andres Solano na Borja Garces, ambao hata hivyo hawana uzoefu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -