Monday, October 26, 2020

OHOO! MARKO ARNAUTOVIC HATARINI KUIKOSA CHELSEA

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

LONDON, England


 

HUENDA straika wa West Ham, Marko Arnautovic, akaikosa mechi dhidi ya Chelsea itakayochezwa wiki ijayo kutokana na jeraha alilopata katika mchezo wao wa wikiendi iliyopita waliochuana na Everton.

Mfumania nyavu huyo aliisaidia West Ham kuondoka katika Uwanja wa Goodison Park na ushindi wa mabao 3-1, huku yeye akifunga bao la tatu na kutoa asisti moja.

Dakika tatu tu baada ya kufunga bao hilo, Arnautovic alitolewa nje baada ya kuumia goti na nafasi yake ilichukuliwa na Michail Antonio.

West Ham ilipata ushindi wao huo wa kwanza msimu huu baada ya kucheza mechi nne mfulilizo za Ligi Kuu England bila kuonja raha ya ushindi.

Ni wazi haitakuwa taarifa njema kwa Kocha wa West Ham, Manuel Pellegrini, iwapo Arnautovic atakosekana kwenye kikosi chake kwa muda mrefu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -