Friday, November 27, 2020

OKWI HAKAMATIKI UGANDA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MWANDISHI WETU,

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi, amezidi kuchanua baada ya kuisaidia SC Villa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sadoiln Paints FC, mchezo wa Ligi Kuu ya Uganda.

Okwi alijiunga na SC Villa kwa mkataba wa miezi sita wakati wa usajili wa majira ya baridi akitokea Sonderjyske ya nchini Denmark ambayo hakuweza kutamba nayo hatua iliyomfanya aamue kuvunja mkataba.

Okwi alifunga bao hilo pekee dakika ya 23 na kuifanya SC Villa kuchumpa kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa ligi hiyo baada ya kufikisha pointi 37 baada ya kucheza mechi 17.

Huo ni mchezo wa nne kwa Okwi ambaye ni staa wa zamani wa Simba ya hapa nchini na tayari amefanikiwa kufunga mabao matatu.

Alianza kufunga dhidi ya JMC Hippos, mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 na kufunga tena bao moja katika sare ya mabao 2-2 dhidi ya Lweza FC.

Mchezo ambao Okwi hakufunga kati ya hiyo minne ni dhidi ya Bright Stars uliomalizika kwa suluhu ya 0-0, ambao ndio ulikuwa mchezo wake wa kwanza na mingine yote iliyofuata alifunga.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -