Sunday, November 1, 2020

Omog kuanika wapya Simba

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SAADA SALIM,

BAADA ya kufanikiwa kumleta kipa Mghana, Daniel  Agyei, Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog,  amesema ataanika kikosi kipya kesho baada ya kurejea nchini.

Omog anatarajiwa kurejea leo nchini akitokea Cameroon, ambako alikwenda kupumzika  baada ya kumalizika kwa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA kwa simu kutoka Cameroon, Omog alisema baada ya kumsajili kipa huyo, sasa wana mpango wa kuongeza wachezaji wawili wazawa.

Omog alisema ataanika majina ya wachezaji wapya kesho pamoja na programu ya mazoezi kuelekea mzunguko wa pili wa ligi hiyo.

Alisema timu  hiyo imeanza  mazoezi chini ya kocha msaidizi, Jackson Mayanja, akiwa na kikosi  kilichosajiliwa na klabu hiyo.

“Kila kitu kitakuwa wazi Jumamosi, nitarejea Tanzania kesho (leo), nitaweka wazi kila kitu, ikiwemo mechi za kirafiki kwa ajili ya kujiweka sawa na mzunguko wa pili,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -