Friday, December 4, 2020

ONGALA AWAKOLEZA HASIRA WACHEZAJI

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ESTHER GEORGE,

KOCHA Mkuu wa Majimaji, Kali Ongala, ameangalia nafasi ya kikosi chake kilipo akagundua na kuwataka wachezaji wake waweke masihara pembeni na kuipambania timu yao ili isishuke daraja katika msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Majimaji inashika nafasi ya tatu kutoka mkiani kutokana na pointi 21 na kama wasipojituma na kupata matokeo mazuri michezo yao iliyobakia, ni wazi wanaweza wakajikuta wakicheza Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara msimu ujao.

Akizungumza na BINGWA jana, Kali alisema wachezaji wanatakiwa kuvuja jasho na kupambana kwa hali na mali ili kuiokoa timu hiyo na mkasi wa kushuka daraja.

“Ukweli ni kwamba, hatupo katika nafasi nzuri na hapa tunatakiwa wote kwa pamoja kupambana kuhakikisha tunaondoka sehemu za mkiani, wachezaji wanatakiwa kupambana zaidi,” alisema.

Alisema ligi ya msimu huu ni ngumu kutokana na ushindani mkali wa kuwania ubingwa na pia baadhi ya timu zikipambania kutokushuka daraja hivyo wachezaji wasipojituma wataiangusha timu yao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -