Saturday, October 31, 2020

OWINO: HATUWAHOFII SIMBA LIGI KUU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MARTIN MAZUGWA

BEKI wa kati wa timu ya Lipuli FC ambaye ni raia wa Uganda, Joseph Owino, amesema amekiona kikosi kipya cha Simba ni kizuri, lakini wasitarajie mteremko watakapokutana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu ujao.

Timu hizo zinatarajia kukutana Septemba mosi, mwaka huu, ambako Lipuli wataanza kucheza ugenini katika dimba la Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA juzi, Owino alisema hivi sasa kocha wao anaendelea kuyafanyia kazi mapungufu ya kikosi chao kwa kurekebisha makosa yaliyojitokeza msimu uliopita, ili yasijirudie katika Ligi Kuu msimu huu.

“Msimu uliopita ulikuwa mgumu kwetu, kutokana na ugeni wa timu yetu katika Ligi Kuu, lakini ninaamini msimu huu tutafanya vizuri zaidi na kuwashangaza wengi ambao walitubeza,” alieleza Owino.

Katika msimu uliopita timu za Simba na Lipuli zilishindwa kutambiana zilipokutana katika michezo miwili ya Ligi Kuu na kutoka sare.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -