Friday, October 30, 2020

Ozil amsikilizia Wenger

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

STRAIKA Mesut Ozil, anamsikilizia kocha wake, Arsene Wenger, kuhusu hatima yake kwenye klabu hiyo kabla ya kusaini mkataba mpya.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari kutoka ndani ya klabu hiyo, Arsenal inataka kumfanya Mjerumani huyo kuwa mmoja kati ya wanaolipwa fedha nyingi, lakini kwanza anachotaka kukifahamu ni kama Wenger ambaye mkataba wake unafikia kikomo Juni mwakani atamwaga wino kwenye nyaraka za mkataba mpya.

Mkataba wa sasa wa Ozil unamalizika mwaka 2018 na staa huyo wa timu ya Taifa Ujerumani anasema kuwa fedha hazina ushawishi kwake bali kinachomshawishi ni kuwa karibu na mtu ambaye alimpeleka kwenye klabu hiyo ya Emirates kwa ada ya pauni milioni  42.5 mwaka 2013.

Hata hivyo, inasemekana kwamba Wenger ameshapewa ofa ya mkataba mpya ambao utamfanya afikishe miaka   21 kwenye klabu hiyo ingawa hajausaini na anatarajia kusubiri hadi mwisho wa mkataba wa sasa kabla ya kufanya uamuzi.

“Tatizo si fedha zitakazonishawishi bali ni mtu ambaye alinileta Emirates kwa gharama kubwa,” alisema staa huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -