Monday, October 26, 2020

OZIL ‘OUT’ ARSENAL, KUTIMKIA UTURUKI

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

LONDON, England

KWA mujibu wa mkongwe wa Arsenal, Charles Nicholas, Arsenal watampiga bei kiungo mchezeshaji wao, Mesut Ozil, ifikapo Januari, mwakani.

Chanzo cha uamuzi huo wa mabosi wa Gunners ni kupanda na kushuka kwa kiwango cha nyota huyo, licha ya kwamba amefunga katika mechi zote mbili zilizopita.

Ozil aliitwa benchi katika mchezo mgumu dhidi ya Chelsea na wiki moja baadaye hakuwa sehemu ya kikosi kilichomenyana na West Ham United.

Huku Fenerbahce ikiongoza mbio za kumfukuzia, lejendari Nicholas anaamini Arsenal wataikubali biashara hiyo hapo Januari.

“Kama atakuwa hajaimarika hadi Januari na ikaja ofa nzuri, Arsenal watamwacha aende,” alisema Nicholas katika mahojiano yake na gazeti la Express.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -