Sunday, November 29, 2020

PAMBANO LA KHAN NA MANNY PACQUIAO LIPO JIKONI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

BONDIA wa England, Amir Khan, ameanza mazungumzo ya pambano la kuwania mkanda wa WBO na mkali wa masumbwi wa Ufilipino, Manny Pacquiao.

Mazungumzo hayo yalianza mara baada ya watumiaji wa mtandao wa Twitter ambao ni mashabiki wa Pacquiao, kupiga kura ya kumchagua mpinzani wake na Khan alifanikiwa kupata asilimia 48 ya kura zote dhidi ya Kell Brook, Jeff Horn na Terence Crawford.

Baada ya kuchaguliwa rasmi, Khan aliandika kwenye akaunti yake ya Twitter akisema: “Kwa sasa tunaendelea na mazungumzo na Manny #teampacquiao. Pambano litakuja muda si mrefu. Kaa mkao wa kula!”

Bingwa wa dunia wa aina sita za uzito, Pacquaio ambaye alisema pambano litakalofuata litafanyika Umoja wa Falme za Kiarabu na kuongeza: “Mimi na timu yangu tupo kwenye mazungumzo na Amir Khan kwa ajili ya pambano letu. Mengine tutawafahamisha muda si mrefu.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -