Sunday, October 25, 2020

‘PASS MASTERS’ HAWA NDIO MAFUNDI 10 WA PASI ULAYA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

PARIS, Ufaransa

SUALA la kila timu kuwa na kiungo ambaye ana uwezo wa kuumiliki mchezo ni la msingi sana, achana na falsafa ya soka linalochezwa na timu hiyo, ni lazima iwe na mtu pale katikati mwenye ufundi huo.

Viungo wa kati hupewa jukumu kuu la kuhakikisha mpira unamilikiwa na timu yake, kusambaza pasi kila upande wa uwanja ili kujaribu kuwafungua zaidi wapinzani.

Kiujumla, kama eneo la kati ni imara basi lazima timu fulani itamiliki sana mpira na ndio maana kwa sasa unaziona timu nyingi UIaya zikifanya vizuri kwa upigaji pasi kutokana na uimara uliopo kwenye safu zao za kiungo cha kati.

Wote mnatambua ni kwa namna gani Barcelona wanavyopenda kuuchezea mpira, lakini bado hawana hata mchezaji mmoja ambaye ameingia kwenye orodha ya wapiga pasi (10 bora) wa Ulaya.

Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) ndio inayotesa kwa kutoa wachezaji wengi waliotandaza pasi za kutosha msimu huu, takribani nusu ya orodha hii imetawaliwa na wachezaji kutoka ligi hiyo.

Hii ndio orodha kamili:

  1. Benjamin Andre (Rennes, Ufaransa)

Amekamilisha pasi: 1,181

Pasi kwa kila dakika 90: 62.30

Pasi za mbele: 671

Ametengeneza nafasi: 22

Asisti: 2

 

  1. Ander Herrera (Man United, England)

Amekamilisha pasi: 1,185

Pasi kwa kila dakika 90: 68.81

Pasi za mbele: 691

Ametengeneza nafasi: 25

Asisti: 3

 

  1. Marco Veratti (PSG, Ufaransa)

Amekamilisha pasi: 1,192

Pasi kwa kila dakika 90: 91.77

Pasi za mbele: 719

Ametengeneza nafasi: 22

Asisti: 2

 

  1. Malang Sarr (Nice, Ufaransa)

Amekamilisha pasi: 1,237

Pasi kwa kila dakika 90: 62.44

Pasi za mbele: 953

Ametengeneza nafasi: 3

Asisti: 1

 

  1. Thiago Alcantara (Bayern Munich, Ujerumani)

Amekamilisha pasi: 1,259

Pasi kwa kila dakika 90: 88.52

Pasi za mbele: 727

Ametengeneza nafasi: 25

Asisti: 3

 

  1. Wylan Cyprien (Nice, Ufaransa)

Amekamilisha pasi: 1,260

Pasi kwa kila dakika 90: 68.44

Pasi za mbele: 729

Ametengeneza nafasi: 23

Asisti: 3

 

  1. Paul Pogba (Man United, England)

Amekamilisha pasi: 1,271

Pasi kwa kila dakika 90: 60.52

Pasi za mbele: 760

Ametengeneza nafasi: 41

Asisti: 3

 

  1. Marek Hamsik (Napoli, Italia)

Amekamilisha pasi: 1,477

Pasi kwa kila dakika 90: 78.24

Pasi za mbele: 713

Ametengeneza nafasi: 45

Asisti: 7

 

  1. Jordan Henderson (Liverpool, England)

Amekamilisha pasi: 1,533

Pasi kwa kila dakika 90: 74.74

Pasi za mbele: 926

Ametengeneza nafasi: 28

Asisti: 4

 

  1. Thiago Motta (PSG, Ufaransa)

Amekamilisha pasi: 1,623

Pasi kwa kila dakika 90: 102.94

Pasi za mbele: 1,148

Ametengeneza nafasi: 10

Asisti: 0

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -