Saturday, November 28, 2020

PATORANKING: NILIIMBA REGGAE ILI NIPATE ‘MADEMU’

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LAGOS, Nigeria

MWAMUZIKI Patoranking amefunguka siri ya kuimba reggae akisema ni wanawake ndiyo waliosababisha ajitose kwenye muziki huo.

Patoranking alisema alipokuwa sekondari, haikuwa rahisi kupata mpenzi bila kuwa na kipaji cha kuimba na ndipo alipoanza kujifunza aina hiyo ya muziki ambayo kwa sasa imempa umaarufu mkubwa.

“Nakumbuka nilipokuwa sekondari kama hukujua kuimba, usingeweza kupata ‘mchuchu’ na nilipenda kuwa naye,” alisema.

Aidha, alisema aliamua kutuliza akili na kuanza kusikiliza ngoma za akina Bob Marley na Lucky Dube.

“Nilifikiria kuwa na muziki wa aina ya kipekee, ambao usingekuwa ukifanywa na wanafunzi nwenzangu. Ndipo nilipoanza kusikiliza nyimbo nyingi,” aliongeza nyota huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -