Friday, December 4, 2020

PELLEGRINI ASEMA IPO SIKU GUARDIOLA ATAMHESHIMU

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

MANCHESTER, England

NI kazi ngumu kupata mafanikio kwenye Ligi Kuu England, hiyo ni kwa mujibu wa kocha wa zamani wa klabu ya Manchester City, Manuel Pellegrini aliyesema kwamba kuna wakati utafika na Pep Guardiola ataiheshimu kazi aliyoifanya ndani ya timu hiyo.

Pellegrini alisema, tofauti ya Hispania na England ni kwamba mafanikio yake hayaji kwa njia rahisi na utafika wakati kazi yake aliyoifanya miaka michache iliyopita itaheshimika na Guardiola ambaye anainoa City kwa sasa.

“Nadhani ataheshimu nilichokifanya pale (City). Haikuwa kazi rahisi kunyakua taji la Ligi Kuu England, kama wengi walivyodhani angeongoza ligi na tofauti ya pointi 15, uwezekano wa hilo kutokea England ni mdogo,” alisema Pellegrini.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -