Friday, October 23, 2020

PIERRE: SIMBA HAKUNA JIPYA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

NA MWAMVITA MTANDA


ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre, amesema bado hajaona mabadiliko makubwa katika kikosi cha sasa cha timu hiyo chini ya Kocha Patrick Aussems tofauti na ilivyokuwa enzi zake.

Pierre juzi alionekana katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam akiishuhudia Simba ikivaana na Tanzania Prisons na Wekundu wa Msimbazi hao kupata ushindi wa bao 1-0.

Akizunguma na BINGWA jana, Pierre alisema kikosi cha Simba cha sasa kinatumia mbinu na mtindo uleule aliokuwa akiutumia enzi zake.

Pierre alisema japo anafahamu uwezo wa kocha wa sasa wa Simba, lakini bado anahitaji kutumia nguvu ya ziada ili kuwasaidia nyota hao.

“Nilifanikiwa kuifikisha Simba katika kiwango kizuri mpaka kufanikiwa kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu msimu uliopita, hivyo naamini kabisa bado wanatumia uzoefu niliyowaachia kwa kuwa bado kocha ana muda mchache, hivyo si rahisi kufanya mabadiliko ya haraka,” alisema Pierre.

Mfaransa huyo alisema  kwa muda huu ambao bado atakuwa hapa nchini, atajitahidi kuhudhuria mechi za Wekundu wa Msimbazi hao kwani anawachukulia kama watoto wake, hivyo anajisikia faraja anapowaona wakipambana.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -