Friday, November 27, 2020

Pluijm ahesabu pointi za Kagera

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA REBECCA LUZUNYA, MWANZA.

KOCHA wa Yanga, Hans van der  Pluijm, amesema licha ya kikosi chake kuchoka kutokana na kushiriki michezo mingi mfululizo zikiwemo za kimataifa, atahakikisha inaondoka na pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar.

Alisema hayo juzi baada ya kumalizika kwa mchezo wake na Toto Africans ya jijini Mwanza na kuibuka na ushindi wa bao 2-0 na kujipatia pointi tatu zilizowasaidia kufikisha alama 18 katika msimamo wa ligi.

Pluijm alisema pamoja na kupata ushindi dhidi Toto, bado wanatakiwa kuhakikisha wanajipanga zaidi, kwa kuwa hata mchezo huo pia ulikuwa ni mgumu kwao kwa sababu wapinzani wao walicheza mpira mzuri.
Aliongezea kuwa juhudi za wachezaji na mabadiliko mengi waliyoyafanya yamewasaidia kuibuka na ushindi huo ambao ni muhimu kwao kwa kuwa nia yao ni kuwang’oa kileleni mahasimu wao Simba.

“Kagera ni timu nzuri na inafahamika kwa kufanya vizuri katika uwanja wao wa nyumbani, hivyo mipango yetu ni kujipanga kuhakikisha tunapambana na kuondoka na pointi tatu,” alisema Pluijm.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -