Friday, November 27, 2020

PLUIJM HAJARIBIWI BWANA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

KOCHA mpya wa Singida United, Hans van der Pluijm, ameonyesha kwamba hajaribiwi, baada ya kushusha  vifaa viwili ‘fasta’ vya kigeni kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Pluijm ameanza kuisuka upya Singida United baada ya kutimuliwa Yanga ambapo kwa mara ya mwisho alikuwa mkurugenzi wa benchi la ufundi, baada ya nafasi yake ya ukocha kuchukuliwa na George Lwandamina.

Kwa sasa ameanza kukisuka kikosi hicho cha Singida United kwa kuwasajili wachezaji wawili wote kutoka Zimbabwe, ambao ni beki Elisha Muroiwa na kiungo mchezeshaji Wisdom Mutasa.

Wawili hao wamesaini mkataba wa miaka miwili kukichezea kikosi hicho cha Singida, kilichopanda Ligi Kuu msimu huu.

Jumla ya wachezaji waliosajiliwa na Pluijim ni kiungo kutoka timu ya Chicken Inn ya Zimbabwe, Tafadzwa Kutinyu.

Akizungumza na BINGWA jana mjini hapa, Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mwigulu Nchemba, alisema wamewafuatilia wachezaji hao kwa muda mrefu na kuona uwezo wao, hivyo anaamini watawasaidia katika mbio zao za ubingwa wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara

Mmoja wa wachezaji hao, Muroiwa, alikuwamo kwenye kikosi cha Zimbabwe kilichoshiriki fainali za Afrika (AFCON) zilizomalizika mwaka huu nchini Gabon.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -