Thursday, December 3, 2020

PLUIJM KUANIKA MIKAKATI YAKE

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA SALMA MPELI

KOCHA Mkuu wa Singida United, Hans van der Pluijm, anatarajiwa kuanika mikakati yake kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Pluijm alitarajiwa kurejea nchini leo akitokea Ghana, ambako kuna familia yake.

Akizungumza na BINGWA jana, Katibu Mkuu wa Singida United, Abdulrahman Sima, alisema kocha atatangaza mikakati, ikiwamo na wachezaji aliowasajili kwa msimu ujao.

Sima alisema baada ya kutangaza mikakati hiyo, ataanza rasmi kazi ya kuinoa timu hiyo na Mei 5 mwaka huu wataingia kambini kujiandaa na Ligi Kuu Bara.

“Kocha alikuwa kwao kwa mapumziko na anatarajiwa kurejea kesho (leo) na kesho kutwa (kesho) ataweka wazi mikakati yake,” alisema Sima.

Sima alisema katika mazoezi yake ataanza na wachezaji waliopo ambao walifanikisha kuirejesha timu hiyo Ligi Kuu Bara.

Pluijm amejiunga na Singida United baada ya Yanga kukatisha mkataba wake, alipoajiriwa kama kocha mkuu na baadaye mkurugenzi wa ufundi wa klabu hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -