Tuesday, October 27, 2020

Pogba amvimbisha kichwa Mourinho

Must Read

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

LONDON, ENGLAND

KWA kile ambacho unaweza kusema ni kamvimbisha kichwa kocha wa Manchester United, Jose Mourinho, amesema vyombo vya habari viliwahi mno kuhukumu uwezo wa mchezaji wake, Paul Pogba, aliyejiunga na timu hiyo akitokea timu ya Juventus ya Italia.

Mourinho alitoa kauli hiyo juzi mara baada ya staa huyo kuifungia timu yake mabao mawili yaliyoipa ushindi wa 4-1 dhidi ya Fenerbahce katika mchezo wa Ligi ya Europa uliochezwa juzi uwanja wa Old Trafford.

Akimsifia staa huyo, Mourinho  alisema kuwa wachambuzi walikuwa na haraka ya kuhukumu uwezo wa mchezaji huyo kabla ya kumpa muda wa kuonesha kipaji chake.

“Baadhi ya watu walikuwa wakizungumza maneno mabaya kuhusu Pogba ndani ya saa 48 tu aliyofika Old Trafford.

“Siwezi kuwataja majina ndio maana nimezitaja media, tunajua Pogba ni mchezaji mzuri anahitaji muda wa kuonesha ubora wake,” aliongeza  Mourinho.

Mourinho alisema kuwa Pogba anaufahamu mchezo wa soka ipasavyo na kuongeza kuwa timu za Ligi Kuu England zinacheza tofauti na ligi nyingine.

“Kila kitu katika ligi hii ni tofauti hivyo Pogba anahitaji muda wa kujipanga zaidi kwani anajiamini licha ya kusemwa sana kwamba ni mchezaji mbaya na hafai kucheza Manchester United,” alisema Mourinho.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -