Wednesday, October 28, 2020

POGBA WA GUINEA AIBUKIA UFARANSA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

CONAKRY, Guinea


 

STRAIKA  wa timu ya Taifa ya  Guinea, Mathias Pogba, amejiunga na timu inayoshiriki Ligi Daraja la tatu nchini Ufaransa, Tours,  ikiwa ni baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda wa mwaka mmoja na nusu.

Nyota huyo amepata shavu hilo ikiwa ni baada ya wiki tano kukosa dili jingine nchini Ufaransa kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ‘bonge nyanya’.

Staa huyo mwenye umri wa miaka  28, ambaye ni kaka yake kiungo mshambuliaji wa  Manchester United  na timu ya Taifa ya Ufaransa,  Paul Pogba, amejiunga na timu hiyo baada ya pia kupona majeraha  ya kifundo cha mguu ambayo yalikuwa yakimkabili.

“Nimechagua kujiunga na timu hii ya Tours, baada ya kufanya majadiliano na klabu tofauti zilizokuwa zikinitaka, lakini uongozi wa timu hii ndio unaonifahamu na ulishawishi nijiunge nao,” Pogba aliiambia tovuti ya klabu hiyo.

“Tangu Februari mwaka huu, baada ya kupona majeraha nilikuwa nikifanya mazoezi ili niweze kurejea katika kiwango changu na imenilipa kwa sababu  madaktari wamenithibitishia hilo,” aliongeza staa huyo.

Alisema kwamba kipindi alichokuwa akijiuguza kilikuwa kirefu na kigumu, lakini hakukata tamaa ya kurejea katika kiwango chake.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -