Wednesday, October 21, 2020

PRISONS KURUDI KWA KASI MPYA

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA WINFRIDA MTOI

NAHODHA wa Prisons, Laurian Mpalile, amesema wanatarajia kurudi na kasi mpya katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Akizungumza na BINGWA jana, Mpalile alisema kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na benchi la ufundi la timu hiyo, ana amini kwamba kiwango chao kitakuwa tofauti na mzunguko wa kwanza.

Mpalile alisema klabu hiyo imefanikisha kumsajili mshambuliaji Kasimu Seleman kutoka Chikwani ya Zanzibar na kumrudisha kiungo wao, Fredy Chudu aliyekuwa akisumbuliwa katika dirisha dogo la usajili la ligi hiyo.

Alisema wamefanya mazoezi kwa muda wa mwezi mmoja na kocha mpya Mohamed Abdallah, ambapo kuna mabadiliko yameonekana kwa wachezaji na morali imeongezeka.

“Kama nahodha wa timu, kuna uwezekano mkubwa wa sisi kurudi tofauti na tulivyokuwa awali kulingana na mabadiliko niliyoyaona tangu tulipoanza mazoezi chini ya kocha wetu mpya, pia uongozi umeanza kutatua tatizo la umaliziaji lililokuwa linatukabili kwa kuongeza washambuliaji,” alisema Mpalile.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -