Tuesday, November 24, 2020

QATAR YATUMIA DOLA MILIONI 500 KWA WIKI KUANDAA KOMBE LA DUNIA MWAKA 2022

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

Qatar inatumia takribani dola milioni 500 kwa wiki kwa miradi mikubwa wakati inajiandaa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2022, Waziri wake wa Fedha amesema.

Ali al-Emadi anatarajia matumizi hayo ya fedha kuendelea kwa kipindi cha miaka mitatu au minne inayokuja kwa kujenga viwanja vipya, barabara, reli na hospitali.

Zaidi ya dola bilioni 200 zitatumiwa kwa jumla, na taifa hilo lenye utajiri wa mafuta.

Lakini Emadi amekana kuwa mipango hiyo huenda ikisababisha kinyanganyiro hicho cha mwaka 2022 kuwa ghali zaidi duniani.

Kombe la dunia la mwaka 2014 lililoandaliwa nchini Brazil, liliripotiwa kugharimu dola bilioni 11 kuandaliwa, huku nayo Urusi ikiongeza bajeti ya kuandaa kombe la mwaka 2018 hadi dola bilioni 10.7.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -