Friday, October 23, 2020

RAKITIC: HATA MESSI ANASUBIRI KWA MODRIC 

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

CATALUNYA, Hispania


 

KIUNGO wa Barcelona, Ivan Rakitic, anaamini tuzo yoyote anayoweza kuikosa staa Lionel Messi inaweza kutua mikononi mwa Luka Modric.

Kung’ara kwake katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu nchini Urusi kumemfanya Modrid kuingia katika kinyang’anyiro cha kuiwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Pia, ni mmoja kati ya nyota wanaoifukuzia tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Soka la Ulaya (Uefa).

“Kama kuna tuzo ambayo Messi hataipata msimu huu, basi hakuna shaka kuwa itakwenda kwa Luka Modric,” alisema Rakitic katika mahojiano yake na gazeti la Marca.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -