Tuesday, October 20, 2020

Rashford ampa somo Ibrahimovic

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...
LONDON, England

KINDA wa Manchester United, Marcus Rashford, ni kama kampa somo staa mwenzake Zlatan Ibrahimovic akisema kuwa anatakiwa kuwa na ndoto za ubingwa kutokana na kuwa anataka kujifunza mengi kutoka kwa straika huyo.

Ibrahimovic alijiunga na Man United akitokea katika timu ya Paris Saint-Germain kabla ya msimu huu kuanza na kwa sasa Rashford anajivunia kupata nafasi ya kujifunza kutoka kwa nyota huyo mwenye umri wa miaka 35.

“Ni jambo la kushangaza. Tumepata washambuliaji wakubwa duniani ndani ya timu kama vile Zlatan na Wayne Rooney,” Rashford aliiambia tovuti ya Man United.

“Kwa wachezaji kama sisi chipukizi hatuna kitu cha kutakiwa kufanya. Kama mimi Anthony Martial na Jesse Lingard, tunachopaswa kuangalia ni jinsi wanavyocheza na wanavyofanya mazoezi. Huwezi kutuuliza kitu chochote,” aliongeza staa huyo.

Alisema kwamba  ni rahisi kuzungumza na Zlatan na kufanya kazi nao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -