Monday, October 26, 2020

RC Makala ahimiza uzalendo Simba vs Mbeya City

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA PENDO FUNDISHA, MBEYA

MKUU wa Mkoa wa Mbeya na shabiki mkubwa wa Simba, Amosi Makalla, amesema uzalendo ndio ngao muhimu inayohitajika kwenye pambano dhidi ya Mbeya City na Simba.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajia kuchezwa kesho katika Uwanja wa Kumbukumbu wa Sokoine, jijini hapa, huku timu zote zikiwa zimejiandaa vyema kuchukua pointi zote tatu.

Akizungumza na gazeti hili ofisini kwake jana, Makalla alisema kuwa licha ya kwamba yeye ni ‘Simba damu’, lakini katika mpambano dhidi ya Mbeya City, uzalendo ndio suala muhimu kwake.

“Simba misimu kadhaa hatujawahi kufanya vizuri na safari hii timu imeonesha kuanza kurejesha imani kwa mashabiki wake, lakini niwe muwazi, mimi nitakufa na Mbeya City kwani ipo ndani ya mkoa ninaouongoza hivyo sitakubali kubaki na aibu,” alisema.

Aidha, Makalla aliwataka mashabiki wengine kutanguliza uzalendo mbele kwa kuishangilia timu ya Mbeya City ili iweze kufanya vizuri na kubaki na ushindi wa pointi tatu.

“Nitashangaa kuona watu wanyumbani wakiihujumu timu yao eti kutokana na masilahi na ushabiki, ni vema uzalendo kwanza na biashara baadaye,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -