Friday, December 4, 2020

RED ARROWS KUIIVISHA  AZAM.

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAITUNI KIBWANA

TIMU ya Red Arrows ya Zambia inatarajia kucheza na Azam keshokutwa katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar es Salaam.

Azam wataumia mchezo huo kufua makali  kujiandaa na michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, ambao wanatarajia kucheza kati ya mshindi  wa mechi ya awali, Orapa ya Botswana na Mmbabane Swallows ya Swaziland.

Akizungumza na BINGWA jana,  Ofisa Habari wa Azam, Jaffar Iddy, alisema mchezo huo ni muhimu kwao  kujiandaa na kombe  hilo.

“Mchezo huu kwetu ni muhimu sana kwani utatusaidia kuwapima wachezaji wetu kabla ya kukutana na wapinzani wetu,” alisema Iddy.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -