Tuesday, October 20, 2020

RIGOBERT SONG APATA AHUENI

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

PARIS, Ufaransa

MKONGWE wa Cameroon, Rigobert Song amepata nafuu, baada ya kupigwa picha akiwa ametabasamu muda mrefu tangu alipopata ugonjwa wa kupooza.

Song anadaiwa kupata nafuu akiwa kwenye hospitali nchini Ufaransa kufuatia ugonjwa wa kupooza aliyoupata wiki tisa zilizopita.

Beki huyo wa zamani wa Liverpool na West Ham ameanza kupokea ujumbe mfupi lukuki wa kumtakia afya njema.

Song alijiunga Liverpool kwa dau la pauni milioni 2.7, Januari mwaka 1999, akicheza mechi 35 kwenye klabu hiyo, kabla ya kutua West Ham United, Novemba mwaka 2000.

Pia aliichezea kwenye klabu za Galatasaray, Koln, Lens, Metz na Trabzonspor, huku akiichezea nchi yake ya Cameroon mechi 137, ikiwemo mechi walizobeba medali za dhahabu kwenye michezo ya Olimpiki mwaka 2000.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -