Saturday, October 31, 2020

RONALDINHO, RIQUELME KUREJEA UWANJANI KUKIPIGA CHAPECOENSE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

SAO PAOLO, Brazil

WOKONGWE wa Amerika Kusini, Ronaldinho na Juan Roman Riquelme, wamedaiwa kuwa na mpango wa kurejea uwanjani kuichezea Chapecoense, baada ya kampeni zinazoendeshwa kwenye mitandao ya kijamii.

Ajali ya ndege iliyotokea mjini Medelllin nchini Colombia, imepoteza wachezaji 19 wa Chapecoense na kuua watu 76.

Pamoja na klabu za Brazil kuamua kutoa wachezaji kwa mkopo bila ya gharama yoyote kwenye klabu huyo, habari zinazozagaa kwa sasa ni kwamba Ronaldinho na Riquelme wameahidi kutungua daluga zao na kuvaa jezi za rangi ya bluu na nyeupe za Chapecoense.

Riquelme ambaye mara ya mwisho alichezea Argentinos Juniors mwaka 2014, amewahi kunyakua tuzo ya mchezaji bora wa Argentina mara nne wakati Ronaldinho alikuwa mchezaji bora wa Brazil mwaka 2005.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -