Wednesday, October 28, 2020

RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE LA LIGA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


STRAIKA wa timu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo, amezidi kujiongezea rekodi katika kibarua chake, baada ya kuweka rekodi ya kuwa mfungaji kati ya wanaoongoza kwa kuziona nyavu kwa njia ya penalti katika historia ya michuano ya  Ligi Kuu Hispania, La Liga.

Staa huyo wa Real Madrid alifikisha mkwaju wake wa 56 juzi idadi ambayo iliwahi kufungwa na Hugo Sanchez, wakati wa mchezo wa juzi waliofungwa na Sevilla uliopigwa kwenye Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan.

Ronaldo alifunga bao hilo dakika ya 67, licha ya Victor Machin Perez maarufu kama  Vitolo, kujaribu kuokoa mpira huo lakini Mreno huyo kwa jitihada zake akaukwamisha  kimiani.

Awali mlinda mlango, Sergio Rico, alifanikiwa kupangua penalti iliyochongwa na Dani Carvajal, lakini jitihada za Ronaldo akiwa yadi 12 hazikutosha kuipa ushindi  Real Madrid, baada ya  Sevilla kuwashushia kichapo hicho cha mabao 2-1.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -