Friday, October 30, 2020

Ronaldo yupo fresh tu

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LISBON, Ureno NYOTA wa Juventus, Cristiano Ronaldo, ameonekana akiwa na afya njema baada ya taarifa za kuambukizwa virusi vya corona. Ronaldo alilazimika kujitenga na wachezaji wenzake, lakini alionekana kwa mbali akiwa hotelini, akifuatilia mazoezi ya timu yake ya taifa ya Ureno. Staa huyo alicheza mechi ya Kombe la Mataifa ya Ulaya, Ureno ilipominyana na Ufaransa juzi na kutoka sare ya kutofungana. Straika wa Ufaransa anayekipiga PSG,Kylian Mbappe, alipeana mkono na Ronaldo kabla ya mechi hiyo kuanza. Ronaldo sasa atakosa mechi kadhaa za ligi, hadi vipimo vyake vitakapoonyesha tena hana maambukizi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -