Wednesday, November 25, 2020

ROONEY ANA KWA ANA NA MCGREGOR

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney, amekutana na bondia wa ngumi mchanganyiko, Conor McGregor, kuelekea pambano linalotarajiwa kufanyika kati ya mbabe huyo na Floyd Mayweather.

Huenda huu ukawa msimu wa mwisho kwa nahodha huyo wa United ndani ya klabu hiyo aliyoitumikia kwa msimu 13 ya mafanikio, sambamba na rekodi ya kufunga mabao mengi zaidi katika historia ya klabu hiyo.

Hivi karibuni mtandao wa Daily Mail ulitoa taarifa kuwa Rooney amefungua milango ya mazungumzo na klabu yake ya zamani ya Everton kuhusu suala la kurudi ndani ya timu hiyo.

Mpiganaji McGregor kwa sasa anajaribu kukamilisha mipango ya mpambano wa thamani baina yake na bondia Mayweather.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -