Tuesday, October 27, 2020

ROONEY AZIDI KULIA NA VYOMBO VYA HABARI

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


NAHODHA wa Manchester United, Wayne Rooney, bado ameendelea kupinga taarifa zinazozunguka maisha yake binafsi, ikiwa ni baada ya kuweka rekodi ya kuwa mfungaji bora wa Ulaya katika historia ya timu hiyo.

Katika mchezo huo uliopigwa usiku wa kuamkia jana, nahodha huyo alifunga bao lake la 39 dhidi ya  Feyenoord na hivyo kumpita  Ruud van Nistelrooy.

Hata hivyo, badala ya kusherehekea rekodi hiyo, Rooney alionekana kulia na vyombo vya habari akisema kuwa wala hapakuwapo na sherehe ya harusi katika hoteli  ya The Grove ambako anadaiwa kuupiga ulabu wakati akiwa katika majukumu ya timu ya taifa.

“Mambo yote haya mliyatengeneza nyinyi ambao mnaniuliza maswali na watu wa sampuli yenu,” alisema Rooney. “Nadhani watu wa vyombo vya habari mnatengeneza fedha nyingi kwa vitu visivyokuwapo,” aliongeza staa huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -