Friday, November 27, 2020

RT KUPELEKA WANARIADHA LONDON

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA NYEMO MALECELA, MOROGORO

SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT),  linajipanga kupeleka wanariadha katika mashindano ya mbio za uwanjani, miruko na mitupo jijini London, Uingereza, Agosti mwaka huu.

Akizungumza na BINGWA jana Katibu wa RT, Wilhelm Gidabuday, alisema wanariadha watakaopelekwa katika mashindano hayo ni chipukizi watakaopatikana katika mashindano mbalimbali ya mikoa.

“Tutatumia hazina ya wanariadha chipukizi ambao tutawapata katika mashindano ya mikoa kuanzia Desemba 31, mwaka jana.

Gidabuday alisema katika mashindano hayo wanariadha wa mbio za uwanjani, mitupo na miruko nao watapata fursa ya kujitafutia viwango kwa ajili ya kufuzu kushiriki michuano mingine mikubwa ya kimataifa.

“Mara nyingi wanariadha wa mbio ndefu ndio ambao wamekuwa wakishiriki michuano ya kimataifa hivyo tumejipanga kuhakikisha katika safari hii tunawapa fursa wanariadha wa mbio za uwanjani, miruko na mitupo,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -