Tuesday, November 24, 2020

RT WADAIWA SH MILIONI 10

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA JACKLINE LAIZER, ARUSHA
SHIRIKISHO la Riadha Tanzania (RT), limesema linadaiwa zaidi ya Sh milioni 10 na Kampuni ya Dewji Sports.

Akizungumza na BINGWA jana, Katibu Mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday, alisema fedha hizo ni deni la vifaa vya michezo kwa timu ya riadha ya Taifa iliyoshiriki Mbio za Nyika za Dunia zilizofanyika Machi 26, mwaka huu, Uganda.

Gidabuday alisema amekuwa akipokea simu kutoka kwa kampuni hiyo wakidai deni hilo.
“Ni haki yao Dewji Sports kupiga simu kuulizia juu ya ulipaji wa deni hilo kwa sababu siku za makubaliano ya kulipa zimekwisha, ila mimi kama katibu nashindwa kuelewa nini maana ya udhamini, kama unadhamini kitu halafu baadaye mnakuja kudaiwa,” alisema Gidabuday.

Gidabuday alisema kuna fedha ambazo waliahidiwa kupewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya kwenda Uganda, lakini hawakupata fedha hizo.

Alisema katika utawala wake hatapenda kuona mtu anaichafua riadha au kuirudisha nyuma kwa manufaa ya watu wachache, hivyo kamati ya utendaji itakapokutana wiki ijayo italijadili suala hilo la deni na kujua watafanyaje endapo mdhamini atakuwa hajalilipa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -